[base16] # _

Recent Posts

Magazeti Alhamisi, Machi 18: Uhuru Aitisha mkutano wa dharura Kumzima Ruto

published on
Magazeti ya Alhamisi, Machi 18, yemeripotia pakubwa kuhusu kifo cha Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli ambaye aliangamia kutokana na matatizo ya moyo. Habari Nyingine: Hata Mimi Nitakufa Tu! Maneno ya Mwisho ya Marehemu Rais Magufuli Hadharani Habari Nyingine: Kwaheri Magufuli: Rais wa Tanzania Amefariki Dunia, Ulimwengu Wamuomboleza 1. Daily Nation Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli, ambaye hajaonekana hadharani tangu Februari 27, alifariki kutokana na maradhi ya moyo jijini Dar es Salaam. Read More...

Mama na bintiye wajaribu kuuza damu kupata karo ya Kidato cha Kwanza

published on
Mama mmoja na binti wake wamelazimika kuuza damu yao ili kupata pesa za kumlipia msichana huyo karo ya Kidato cha Kwanza. Agnes Akoth na mama yake Rose Odhiambo walikita kambi saa kadhaa katika Hospitali ya Rufaa ya Kaunti ya Siaya mnamo Jumatatu, Januari 13, ambapo walikuwa wamekwenda kumsaka mteja. Habari Nyingine: Bintiye DP Ruto ajiunga na shule ya upili ya Alliance Girls Habari Nyingine: Kocha Jose Mourinho amumiminia sifa Mkenya Victor Wanyama kwa talanta yake Read More...

My aunt was the right person to go into the house with - Nne of Ndi Nne duo

published on
She explained, "I loved having a family member with me, someone who knew me and could take this journey with me. I loved almost every part of being with her, she was the right person to go into the house with. When it comes to things I didn't like, I can't think of anything right now because it was mostly good." "What makes her the right person? You said she was the right person," Read More...

Categories

Blog (1683)