[base16] # _

Recent Posts

Hakuna mitihani ya KCSE, KCPE mwaka huu

published on
- Mitihani ya kitaifa ya KCSE na KCPE itafanywa mwezi Aprili 2021 kulingana na waziri wa Elimu - Iwapo hilo halitafanyika, basi wanafunzi watalazimika kusalia katika kiwango walicho kwa sasa - Shule zilifungwa mwezi Machi kutokana na hatari ya maambukizi ya ugonjwa wa coronavirus Mitihani ya kitaifa ya kidato cha nne na darasa la nane KCSE na KCPE itaahirishwa hadi mwaka ujao kutokana na coronavirus. Waziri wa Elimu Profesa George Magoha alisema mitihani hiyo itafanywa kuanzia mwezi Aprili 2021 iwapo shule zitafunguliwa mwezi Septemba 2020. Read More...

Categories

Blog (1683)