Music History 1983 Motown 25, a concert celebrating the anniversary of Motown records is taped for broadcast at the Civic Auditorium in Pasadena, California; performers include: The Miracles; The Temptations; The Four Tops; Diana Ross and the Supremes; The Jackson 5; and Michael Jackson, who unveils his "moonwalk" dance move
ncG1vNJzZmivp6x7sLrToaCsnJGue6S7zGidoqSdYsG3e8SvnKeso2S6or7CoWZrbQ%3D%3D
- Kabogo amesema lazima wanaopora fedha za covid-19 walaaniwe kwani ni kero kubwa
- Aliteta ni vipi viongozi watamumunya fedha zinazofaa kuwasaidia Wakenya kipindi hiki cha masaibu
- Hayo yalijiri kukiwa na ripoti kuwa mamilioni ya fedha za covid-19 yameliwa na mafisi kwenye wizara ya Afya
Aliyekuwa gavana wa Kiambu William Kabogo amesema amekerwa na taarifa kuwa fedha za kukabiliana na janga la coronavirus zimeporwa.
Kabogo alisema ripoti hizo zinakera sana na wote waliohusika wataadhibiwa vilivyo kwani kufanya hivyo ni kuitisha laana. Read More...
- Mzee huyo wa miaka 58, alipatwa na mhudumu wa usafi akihema sana lojini
- Alikimbizwa katika Hospitali ya JM Kariuki ambapo alithibitishwa kufariki
- Wakati wa uchunguzi, kondomu ilipatikana kwenye sehemu zake nyeti
Habari Nyingine: Nairobi: Kijogoo afumaniwa akirina asali ya mke wa soja
Maafisa wa polisi katika kaunti ya Nyandarua wanachunguza hali iliyopelekea kifo cha mzee mmoja mwenye miaka 58, ambaye aliaga dunia baada ya kulala lojini. Read More...