Magazeti ya Jumanne, Disemba 15, yameangazia uchaguzi mdogo wa Msambweni ambapo wakazi wanatarajiwa kumchagua mbunge wao leo na uchaguzi huo utakuwa unawapima nguvu Naibu Rais William Ruto na kiongozi wa ODM Raila Odinga.
Habari Nyingine: Joe Biden aidhinishwa rasmi mshindi wa uchaguzi wa urais na taasisi ya kura za wajumbe
Habari zingine zenye uzito ni siasa zinazozingira rifarenda ya Mpango wa Maridhiano(BBI) na kinyang'anyiro cha mataifa tajiri kupata chanjo ya COVID-19. Read More...
This is a twice-told tale, and the second telling magnifies the terror of the first. It takes place in Pearl, a town of 22,000 outside Jackson, Miss., flustered for years by an unwelcome reputation as the state’s unofficial capital for double-wide-trailer salesmen. Two weeks ago, however, true infamy was visited on Pearl.
At 8 a.m. on Oct. 1, Luke Woodham, 16, bookish and overweight, drove a white Chevy Corsica up to his high school. Read More...
- Musalia Mudavadi amesema pesa zinafurika Kibra ili kushawishi matokeo ya uchaguzi
- Alisema hilo ni dharau kwa wanaKibra kwani hao pia ni Wakenya wanaohitaji huduma kikatiba
- Kibra imegeuka uwanja wa ubabe wa kisiasa kati ya DP Ruto na kinara wa ODM Raila Odinga
Kiongozi wa chama cha Amani National Coalition (ANC) Musalia Mudavadi ameteta kuwa wanasiasa wamevamia eneo bunge la Kibra kwa bunda za noti katika njama ya kutaka kununua uchaguzi mdogo utakaofanyika Novemba 7. Read More...