blog

Chris Kirubi: Simulizi za Viongozi Zawafanya Wanamtandao Kusema Ndiye Deep State

published on
Rachael Ruto alisema alishangazwa na mifuko ya Kirubi baada ya kufadhili maombi yao 2017 kwa gharama ya mamilioniKalonzo alisema ni mkono wa Kirubi ambao ulifanya aingie ikulu 2008 kama makamu wa KibakiIgathe naye alifichua kuwa Kirubi aliunda muungano wa Igathe-Sonko 2017 na pia kushauri serikali ya kitaifa kuchukua usukani wa Nairobi kupitia NMSSimulizi za viongozi wakati wa misa ya kumpa buriani aliyekuwa mfanyibiashara wa jiji Chris Kirubi ziliwapa Wakenya kumjua zaidi bingwa huyo. Read More...

Hatimaye Kidero aidhinishwa kutetea wadhifa wake

published on
- Ugavana Nairobi utakuwa ‘vita’ vikali kati ya Mike Sonko na Dkt Evans Kidero - Wawaniaji wote wawili walikabiliwa na vikwazo vingi kabla ya ugombeaji wao kuidhinishwa na Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka nchini (IEBC) -Mike Sonko alikuwa ameidhinishwa mbele ya Kidero, ambapo macho yote yaliangaziwa kwa gavan huyo. Wakazi wa Nairobi sasa wamo tayari kupiga kura za ugavana baada ya Gavana Evans Kidero na mpinzani wake Mike Sonko kuidhinishwa na Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka nchini(IEBC). Read More...

Instagram Deactivates Hushpuppis Verified Account

published on
American social networking service, Instagram has deactivated the verified account of the embattled internet fraudster, Abbas Ramon, popularly known as Hushpuppi, Naija News reports. Hushpuppi is currently in prison, serving trials in the United States following his arrest in 2020 over fraud-related activities. The Nigerian was nabbed in Dubai by a joint team of Police and the United States Federal Bureau of Investigation for defrauding unsuspecting public members, including American citizens. Read More...