“Cosmos” is returning to the National Geographic Channel and Fox.
The networks have ordered a second season of the science documentary television series, which is a follow-up to the 1980s series “Cosmos: A Personal Voyage” with Carl Sagan. Read More...
- Mitihani ya kitaifa ya KCSE na KCPE itafanywa mwezi Aprili 2021 kulingana na waziri wa Elimu
- Iwapo hilo halitafanyika, basi wanafunzi watalazimika kusalia katika kiwango walicho kwa sasa
- Shule zilifungwa mwezi Machi kutokana na hatari ya maambukizi ya ugonjwa wa coronavirus
Mitihani ya kitaifa ya kidato cha nne na darasa la nane KCSE na KCPE itaahirishwa hadi mwaka ujao kutokana na coronavirus.
Waziri wa Elimu Profesa George Magoha alisema mitihani hiyo itafanywa kuanzia mwezi Aprili 2021 iwapo shule zitafunguliwa mwezi Septemba 2020. Read More...
Since inheriting the world of “Yellowstone” in Season 2, costume designer Johnetta Boone has made her mark on bringing Western fashion and costume to a broader audience. The key was tailoring to each character, she says. Read More...