blog

Is Your Food Expired? Dont Be So Quick to Toss It

published on
Getty Images / Getty Images Use-by dates are contributing to millions of pounds of wasted food each year. A new report from the Natural Resources Defense Council (NRDC) and Harvard Law School’s Food Law and Policy Clinic says Americans are prematurely throwing out food, largely because of confusion over what expiration dates actually mean. Most consumers mistakenly believe that expiration dates on food indicate how safe the food is to consume, when these dates actually aren’t related to the risk of food poisoning or foodborne illness. Read More...

Mazishi ya Moi kukosa mizinga 21 kutoka kwa jeshi

published on
- Moi atazikwa Kabarak ambapo jeshi litamuaga kwa mizinga 19 - Hilo ni tofauti na Kenyatta ambaye alifariki akiwa uongozini na kupewa mizinga 21 - Rais huyo mstaafu atapewa mazishi ya kitaifa kutokana na hadhi yake kama kiongozi wa Kenya Rais mstaafu Daniel Moi atapata mizinga 19 wakati wa kuzikwa katika shamba lake huko Kabarak Nakuru. Moi atakosa kupewa mizinga 21 ambayo ni maarufu kwa kuwa alifariki kama tayari amestaafu kutoka uongozini. Read More...