blog

Nigerians Have The Opportunity To Vote, They Shouldn't Complain About What They Get

published on
Former Minister of Transportation, Rotimi Amaechi has submitted that Nigerians deserve the kind of leaders they get from voting during elections. Speaking during an interview on Saturday with Arise TV, Amaechi said Nigerians should not complain about what they get because they always have an opportunity to vote. According to him, whatever Nigerians get after voting at the polls is what they deserve. “Nigerians get what they want, Nigerians get what they deserve. Read More...

Seneta Malala achaguliwa mwenyekiti wa kamati ya kuskiza kesi ya Gavana Waiguru

published on
- Malala alisema Wakenya wako macho kwa kamati yake na watafanya haki kwa pande zote mbili - Kamati hiyo itaskiza mashtaka dhidi ya Gavana Waiguru baada ya kutimuliwa na Seneti Juni 9 - Malala alisema itatoa ripoti yake Ijumaa, Juni 26, kama alivyoagiza Spika Ken Lusaka Seneta wa Kakamega Cleophas Malala amechaguliwa kuwa mwenyekiti wa kamati teule itakayoskiza kesi dhidi ya Gavana wa Kirinyaga Anne Mumbi Waiguru. Malala alichaguliwa bila kupingwa wakati wa kikao cha kwanza cha kamati hiyo Jumatano, Juni 17. Read More...