- Mnyama huyo aliwavamia watalii wawili raia wa Uchina na kumuua mmoja
- Maafisa KWS walimuua kiboko huyo Jumapili, Agosti 12
- Mvuvi mmoja wa eneo hilo alivamiwa na kuuliwa na mnyama wa porini lakini hakuna hatua iliyochukuliwa na serikali
Habari Nyingine : Ngina Kenyatta na mabinti weingine 9 wa marais wa Afrika wanaopendeza ajabu
Wenyeji wa mji wa Naivasha wamejitokeza kwa hasira na kupinga vikali hatua iliyochukuliwa na idara ya KWS kwa kumuua kiboko aliyemvamia na kumuua raia mmoja wa Uchina eneo hilo. Read More...
-Je umewahi kushangaa kukutana na watoto ambao uliwaona miaka michache iliyopita, ukashtuka kwa jinsi walivyokua upesi?
-Ukiwa ulikitazama kipindi cha machachari basi utakubaliana nami kuwa watoto hukua upesi mno
-Watoto hao uliowatazama katika kipindi hicho si watoto tena
Utakubaliana nami kuwa kipindi cha machachari ndicho kipindi cha kwanza kilichowalenga watoto na kupata mashabiki wengi zaidi ambao hawangekosa kukitazama kando na watoto.
Watoto waigizaji katika kipindi hicho walivutia mno haswa kwa jinsi walivyoigiza na kuishinda mioyo ya wengi. Read More...
There are a lot of Roku players, and if you purchase a new one, you might wonder if you can continue to use the remote you already have. Odds are pretty good that you can. Roku players typically use one of two kinds of remote controls, and each remote is interchangeable with all players that use that kind of remote control. Here's everything you need to know about Roku remotes, and which Roku players they work with. Read More...